Hahaaaa 4 - 4 - 2 kama arsenal au MadridKatwila amesema wamepanga kutumia mfumo wao wa 4-4-2 ambao waliutumia kwenye mchezo dhidi ya Yanga na kupata matokeo mazuri.
Katwila amesema ataendelea kuwatumia wachezaji wake Mohamed Issa na kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga pamoja na Stamili Mbonde ambao ameahidi kuwaanzisha kwenye kikosi cha kwanza.