Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hakuna likes mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Posti chochote
Kafanya nini mkuu?Mungu jamani
Likes zitatoka kwa wakongwe..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna likes mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rodgers wamemvunja Collarbone bana kizembe zembe tu. Mtapata unafuu kidogo labda.Hahaa... You know who am talking about. Kichekecheo changu nakiaminia! Steelers Nation baby. Green Bay wanalia huko, QB wao is out for the rest of the season! [emoji23][emoji23]
Raha ya deni kudaiwa wewe !!!Jamani kuna msemo usemao cha mtu mavi na usiku wa deni auchelewi kukucha dawa ya deni kulipa tu si kumkimbia mdeni wako