Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu hapa nimeburudika sana, maana umenirudisha miaka kadhaa nyuma, enzi zile, shule zikifungwa mnaenda vijijini au mijini kwa wale wa vijijini. Kulikuwa na mto kama huo. daaa, utoto ni mtamu acheni masihara[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii michezo niliipenda saana