Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ile ilikuwa namba nyingine[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , sijui yuko wapi sasaKipindi kile Goddess ISIS akikimbiza hapa 24/7 kweli watu walikuwa hawalali. Siku hizi wala!
Mkuu natarajia kukupoteza ili nijutwalie mwali huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemeji hakuna kitu kina uma kama mke. Mtu asichezee mkeo bwana. Sasa haka ka Moud kananitafuta.
[emoji113] [emoji113]Tumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa baraka na neema tele anazotupa kila siku