Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1508263721462.jpg
 
Apples ni msingi hautakuangusha. Kula apple,kunywa juice fresh ya apple,oka crisp, apple chips…utajisikia vizuri zaidi utapofikiri kuhusiana na urembo.Apple ni lina maajabu ya utamu,na lina faida lukuki-nyingine utakua hata ujazitegemea!
Leo nahisi tuwe pamoja katika faida za kiafya za kula apple. Lakini la mwanzo kabisa,hizo ni picha za apple huenda yana ladha tofauti tofauti.
 
Hung’arisha meno kuwa meupe. Apples ina malic acid,ambayo hutumika katika meno kuyafanya yawe meupe.kwa huo uwezo wake pia wakuondoa madoa kwenye meno.Mra nyingine ukila Apple,hakikisha unalitafuna kwa kuzipata faida zaidi na hata sugulia kabisa kwenye meno yako.
 
Back
Top Bottom