Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dawa yao ndogo hao! Unakamenyenyua huku unahidden camera chumbani kwa ushahidi! [emoji23][emoji23]
Haitasaidia. Tayari your reputation is tarnished. Na kama ulipelekwa ndani basi rekodi mpaka ifutike kwenye jina lako ni 5 years. Hupaswi hata kutuhumiwa...na kama umeanza kukararua katikati ya ligwaride kakabadili mawazo na kusema stop inabidi uache mara moja! Ukiendelea hata kama ni mshindilio mmoja tu tayari umebaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…