Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Nakwambia huku ni hatari sana! Si unaona yule mogul wa Hollywood kinavyomuwakia? Wanazidi kuibuka tu, ingawa kuna wengine lazima walikubaliana! [emoji23][emoji23]
 
Boost immune system. Apples ina vitamin nyingi na ziko juu, ikiwemo vitamin C – Hii ni maalum kwa kuboost immune system!
Satisfy cravings. Apples asili yake ni tamu,kwahiyo husaidia kutosheleza kwa mchana kwa badala yahamu ya cookies.Ina calories kidogo na kwa ujumla ni haina mafuta ,utajisikia vizuri ukila, pia!
 
Faida za Matofe KiafyaHusaidia kupunguza na kuulinda mwili dhidi ya sumu za mwili (free radicals). Matofe yana vitoasumu vingi vya flavonoids na polyphenolics.Hupunguza hatari ya kupata sarataniKampaundi za flavonoids zilizopo ndani ya matofe husaidia kuondoa sumu kwenye mwili ambazo huchangia utokeaji wa saratani.
 
Tahadhari
Baadhi ya watu wana allergy na matofe, kutokana na aina ya protini iliyo ndani ya matofe.

Ulaji wa mbegu za matofe unaweza kuhatarisha afya yako. Ukila mbegu nyingi sana, kama kikombe kimoja, inaweza kuleta sumu ya cyanide.
 
Virutubisho Vilivyopo Kwenye Matofe
Matofe yana virutubisho vifuatavyo:

Wanga
Vitamini C
Kambakamba (dietary fibers)
Vitoasumu (antioxidants phyto-nutrients) flavonoids na polyphenolics
Matofe hayana fati wala lehemu.


Matofe yana kiasi kidogo cha wanga, na kiasi kikubwa cha kambakamba.
 
An apple a day keeps the doctor away” ni msemo maarufu kutokana na faida za tunda hili kwa afya ya mwili. Ingawa sio lazima ukila tofe kila siku hautaumwa, lakini utaboresha afya yako kwa kiasi kikubwa (ikiambatana na kufuata lishe bora).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…