Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
YamekuaHayawi hayawi
MsabwaxUzuri wa mwanamke ni
Huvikwa mkufuChanda chema
Hewala yashinda
Safari sio
Aibu ya maiti
Adhabu ya kaburi
Linasikilizia shilawadu kwa mara ya mwishoSikio la kufa
Hakosi uogaKuku mgeni
Huyo hata Bill Cosby cha mtoto. Kuna wachezaji wanafunzi wa Hockey au Lacrosse kutoka Duke University sikumbuki vizuri. Wazungu wanne wavulana walisingiziwa na binti mweusi kuwa wamembaka. Timu ikafa na wakafukuzwa chuo na kutiwa ndani. Baadaye ikajulikana binti alikuwa anadanganya lakini ndo hivyo tena. Sema tu walikuwa watoto wa matajiri na waliweza kwenda kwingine kumalizia masomo yao. Rekodi zao wazazi ndo walikuwa wanapambana kuzifuta baada ya kuajiri wanasheria wakali. Ni jamii ya ajabu sana !Nakwambia huku ni hatari sana! Si unaona yule mogul wa Hollywood kinavyomuwakia? Wanazidi kuibuka tu, ingawa kuna wengine lazima walikubaliana! [emoji23][emoji23]
Huishia kujikwaaMbio za sakafuni
Hunasa patamuNdege mjanja