Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hisia chanya ni hisia nzuri lakini zinazohitaji kiasi na wakati sahihi wa kuziruhusu kutumika, kwamfano umetumiwa sms kuwa umeshinda kiasi flani cha pesa, lakini uko kwenye kikao na wakuu wako wa kazi, je utapiga yowe, lah hasha! utapaswa kutunza hisia zako hadi utakapofika eneo sahihi la kutoa hisia zako.
 
1d75fa54a55514798d62e32d8d47273a.jpg
 
Huenda ukawa umesikia habari kijuu juu kuhusu tunda aina ya tende, ila leo nimekutana na ujumbe huu ambao nimeona ni muhimu nawe ukaufahamu kwa faida ya afya yako.
Tende ni tunda ambalo linayeyuka kirahisi tumboni na lenye faida nyingi sana ambazo hulifanya liwe tunda la kipekee.
Tunda hili limezoeleka kuliwa wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ila sio mbaya ukapendelea kula wakati wote kwani linafaida nyingi katika mwili.
 
Kwa watu wenye matatizo ya tumbo, nicotinic inayopatikana kwenye tende husaidia kurekebisha matatizo ya tumbo na huleta ahueni kwa watu wenye matatizo ya kupata choo.
Tende husaidia kuuimarisha moyo. Iloweke tende kwenye maji kwa usiku mmoja na asubuhi kunywa maji hayo pamoja na tende zilizolewekwa baada ya kuondoa mbegu, ukifanya hivyo mara mbili kwa wiki, moyo wako utakuwa imara.
 
Tende husaidia pia kwenye mambo ya malavi davi. Iloweke tende kwenye maziwa ya mbuzi usiku, asubuhi changanya maziwa hayo na asali kisha kunywa, njia hii husaidia kuongeza nguvu na stamina za kufanya mapenzi.
 
[emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179]

5 rules of a relationship:

1. Stay faithful.
2. Make them feel wanted.
3. Respect your partner.
4. Don't flirt with others.
5. Make time.
[emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179][emoji179]
 
[emoji777]NO MORE FEAR!!

[emoji810]Nothing in life is to be feared; it is only to be understood. Now is the time to understand more so that we may fear less. A man who flies from his fear may find that he has only taken a shortcut to meet it. Keep your eyes on the stars and your feet on the ground. Make yourself a priority. At the end of the day, you’re your longest commitment. You have to expect things of yourself before you can do them .fears kills you motivation awaken you!!
 
Back
Top Bottom