Akiwa profesa wako amekualika kwake utafanyeje? Mkuku ama?
Upo ukurasa wa ngapi nikufuate?[emoji3] [emoji3] [emoji3] ili tusaidiane kufukua makaburi[emoji3]Sana tu
Huyu ndege namkubali sana,
Alamsiki!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unatesti zali halafu unaona itakuwaje !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Acha masikhara mkuu! Duu, nijaribu kwani sijipendi! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]