Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Sisi ni marafiki, kwa sasa tupo kwenye majadiliano kumaliza tofauti zetu, hasa pale atakapoafiki kuniachia mrembo wa kisukumaMaajabu haya. Uniq na Moudgulf wanaitana bro !!!
Likes na kazi, ujenzi wa taifa uendeleeWakuu mbona pamepoa ghafla?
Hawa ndio wale waliopewa viwanja vya bure kule dodoma?
Mzee wa kuvamia mazizi ya watuHahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shimba ya Buyenze huyu kijana atakuwa kwenye yale makundi yaliyotajwa na Ofisa wa TakukuruSisi ni marafiki, kwa sasa tupo kwenye majadiliano kumaliza tofauti zetu, hasa pale atakapoafiki kuniachia mrembo wa kisukuma
Dogo hana lakeMaajabu haya. Uniq na Moudgulf wanaitana bro !!!
Kweli kabisa itakuwa ndio wenyeweHawa ndio wale waliopewa viwanja vya bure kule dodoma?
Sauzi ukimwi kuisha itakuwa shida sana
Funny ! America - the girth nation...fattest among the industrialized nations...
Tough question....
Cc. Carba [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mpare akirudi bifu linaanza upya. Fanya yote kwa Mpare lakini kamwe usiguse malkia wake wa Kisukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ni marafiki, kwa sasa tupo kwenye majadiliano kumaliza tofauti zetu, hasa pale atakapoafiki kuniachia mrembo wa kisukuma
Ndiyo wenyewe. Misambwanda haijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wale waliopewa viwanja vya bure kule dodoma?