Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nakuangalia tu. Toka jana wewe unataka kuniingiza chaka! Mazizi ya watu hayo, ooh! [emoji23][emoji23]
Mwenye zizi siku haonekani huku. Jitose tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 

Hapana aisee! Watu wanasema “Cha mtu mavi”. [emoji23][emoji23]
 
Kwani huu ukoo hauna habari za kurithiana eeh[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…