Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Prof. Lumumba naye anageuka legend kama vile Mzee Mugabe...Ananikumbusha debate mashuleni. Shule pinzani mkiona inawazidia njia rahisi ya kuwashinda ni kuporomosha mabomba tu...Hivi imeandikwa lugha gani hapo?msaada tafadhali