Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimbaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kaukweli lakini shemeji. Vimbaumbau kufunga mtaa na mabifu kila kona kawaida tu. Ukiona matarumbeta kwenda kumsuta mtu mtaa wa pili mhusika mkuu likely ni kimbaumbau. Mavibonge yetu haya mapooole yaani roho safi mavivu vivu kujibwaga kwenye mikeka tu msambwanda hukooo na kucheka cheka tu hayana shida na mtu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Misambwanda....wanasema pengine ndiyo nchi inayoongoza kwa misambwanda duniani...na ngono kwao siyo big ishu kivile......

Ni nadra kuona binti wa Kizulu/Kixhosa ambaye hana chogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ndipo shimba unatakiwa kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…