Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maji ya madafu yanasaidia kuzuia muonekano wa kizee
(anti-aging ): Matumizi ya mara kwa mara ya maji ya madafu yatakufanya uonekane na kijana hata kama umri wako umeenda. Kuwa na uwezo wa kuzuia muonekano wa uzee ni miongoni mwa sababu zinazo yafanya maji ya madafu yawe maarufu sana miongoni mwa wasanii wanao igiza filamu katika huko Hollywood nchini Marekani.
 
Kila mtu anajua halafu mdaiwa pekee ndo anajifanya eti hajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Atawalipa tu haijalishi kama ndoa ishakufa ama la!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji233] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji230] [emoji233]
 
Jamani hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu tulishawakataa hawa. Hawana soko na nyama yao ni hovyo tu. Tafuta ng'ombe wa kawaida please....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…