Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
We mzee kweli umevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sharti lazima niende na Cole
Tena kwa kuongongozana.Ukitangulia peke yako utakamuliwa maziwa uyanywe peke yako,nakujua kwa uvivu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe kuna fursa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na vile nilikuwa nataka kumuacha Cole nijibebee mwana ukoo mwingine,habari njema sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo inaitwa kilingho (kurithi mke), nipo tayari ukitaka.Si unajua mimi sijui kukataa eti eeh!!???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muitikio wa dizaini hii huwa unanimaliza nguvu, daa! Yaani hapa Nansio ukiita mtu muitikio ni “what”? [emoji57][emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hako kaneno "abee" kalinimalizia pensheni yangu.
Changamoto niliyo nayo kwenye biashara ya maparachichi ni hako kaneno "abee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…