andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Weeee!!! Maza hausi kaikaba[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata chenji ya nauli huna??
Weeee!!! Maza hausi kaikaba[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata chenji ya nauli huna??
Yaani acha tu shemeji,sijui leo itakuwa kama juzi[emoji30][emoji30]Unaenda kupambana na insomnia shemeji? Mbona mapema?
Maza hausi naye nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]Weeee!!! Maza hausi kaikaba[emoji23] [emoji23]
Muitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muitikio wa dizaini hii huwa unanimaliza nguvu, daa! Yaani hapa Nansio ukiita mtu muitikio ni “what”? [emoji57][emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550]
Ngoja nikambembeleze shemeji yangu. Usiku mwema mkuu[emoji120] [emoji120]Unaenda kupambana na insomnia shemeji? Mbona mapema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We shemeji wewe !!!Tena kwa kuongongozana.Ukitangulia peke yako utakamuliwa maziwa uyanywe peke yako,nakujua kwa uvivu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kumbe tupo wengiMuitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema mkuu[emoji120] [emoji120]Wakuuu.