Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muitikio wa dizaini hii huwa unanimaliza nguvu, daa! Yaani hapa Nansio ukiita mtu muitikio ni “what”? [emoji57][emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550]
Muitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kumbe tupo wengi
 
Muitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakwambia ni hatari hii, usipokuwa mjanja huchomoki! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…