Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tupo mkuuMna uhakika nyinyi siyo mafisadi? Wa fikra? Wa kisaikolojia? Kiitikadi? Kiroho?
Na mkikabidhiwa jungu la minofu, ni kweli hamtafakamia minofu nyinyi kwa nyinyi na watu wenu wa karibu? Binadamu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]At least she knows herself [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]