mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wali kisamvu
Hahahahaha mpigie simujamani miimi sina usingizi ninacho kitaka ni Gigy money anipe [HASHTAG]#PAPA[/HASHTAG]... anaye weza kunikonekti nae jamani anisaidie
Kweli the bold tumemiss sana hadithi zakeMelo na Jamii forum kwa hili la The Bold mnamuonea, Mbona Ontario hafungiwi
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Naila one, A moment ago.
Thread Tools
Unwatch Thread
N
Naila one Member
#1
A moment ago
Joined:Oct 4, 2017
Messages:18
Likes Received:22
Trophy Points:5
Kijana mmempiga Ban ya karibia miezi sita sasa. kosa lake lipi kubwa humu. kutangangaza forum yake ya kusoma story za intelligence. Kama ni kosa sawa, mmeshampa adhabu..mbona hamfungulii. wengi sana tulikuwa tunapenda habari zake.
Melo mi nadhani hauchezi fair aisee. Mbn Ontario anatangaza biashara zake kwa kukutumia jamii forum....( au kuna dizaini flani au siyo)..semeni kama wengine hatufai humu..)
Jamii forum imekuwa kubwa kwasababu ya sisi..wengine tumeanza 2009 humu..sahau kuhusu hizi akaunti mpya mpya tunazotumia zingine..ni kwa usalama tu..mabomu tunayotuma humu balaa na tunaogopa Noah ya Roma..
Hamfanyii fair The bold..siyo ungwana kabsa huo..jukwaa lile now limepoa sana. tunalilia humu uongoz wa magu siyo wa demokrasia lakini nyie wenyewe hamko fair kabsa. najua uzi huu mtafuta lakini sms imefika maana na nyinyi siku hizi mnakili kama za mange kimambi mkisemwa kidogo tu ban na kufuta uzi za watu...?? mkiufuta huu uzi..ntauleta tena kivingine.
KAKA WA TAIFA AMETABSAMU LEO kutokea Nairobi, Mungu Mkubwa sana.
Melo bring back the bold:
twendezetu na the bold..
No commentThe Bold naye alizingua. Huwa sifagilii watu wanaojiona kuwa wao ni bora mpaka kiasi cha kutofuata utaratibu hata wakiombwa na kuonywa. Hata kama ungekuwa na kipaji cha kufufua wafu kama una kiburi, unajiona kuwa wewe ni bora kuliko wengine litakalokupata usilalamike. Ni funzo zuri. No one is above anything na hapa JF hata uwe nani ukicheza ban unakula tu kama kawaida !!!
By the way, kamata likes...
Mchana wa mananeJf usiku wa manane
Mna uhakika nyinyi siyo mafisadi? Wa fikra? Wa kisaikolojia? Kiitikadi? Kiroho?Tupo
At least she knows herself [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Slut
*Breaking News*!Kijana mjasiriamali kwema?
YapMaji ya madafu yana imarisha mzunguko wa damu mwili.
Gonga likesWazee wa likes leo nimeamka na upako wa kuzitaka likes za kutosha.
Salama mkuuSalaam wakuu
Likes za nguvuLike za kishindo
Nipo poaNililalana likes na nimeamka na likes, mko poa poa wana likee
UtawaangamizaUkabila ndani ya siasa za Kenya
Hatari sanaKujifanya unataka demokrasia kwenye nchi yako, huku ukifurahia kuminywa demokrasia kwenye nchi jirani