Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
Mzima weweSalama
Mzima weweSalama
Kamata likesnawakubali sana wadau wa likes, tupo pamoja
Wa afya KabisaMzima wewe
Apo gud kama uko poaWa afya Kabisa
Ukiona hivyo jua watu wameshakuwahi. Mkuu ukiwa hapa chunga mzigo wako[emoji125] [emoji125] [emoji125]Simuoni kwenye huu uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]andjul, siku ukisikia kuwa YEGO kaingia siasani basi inabidi uanze kusali na kutubu dhambi zako zote, najua unazo! Kwani ujio wa Masiha utakuwa umewadia! [emoji23][emoji23]
Umepata cha wapi Leo..?Baada ya kuona hizi picha nimeshushia na maji mengi, asubuhi ishapita[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Habari yakoHabari Waheshimiwa?h
Jamaica[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Umepata cha wapi Leo..?
Nipo poa Dogo. Kuna kauzi hapa JF naona watu wanaongea wakitumia MASABURI. Ndio napambana nao na tafuta logic ya kitu fulani ila sijakipata huko.Oya mpare, niaje dogo[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Tabu kweli kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha majalada yaonekana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli kabisa zitakuja tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zitakuja tu
HahahahahaMuitikio wa dizaini hii huwa unanimaliza nguvu, daa! Yaani hapa Nansio ukiita mtu muitikio ni “what”? [emoji57][emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hako kaneno "abee" kalinimalizia pensheni yangu.
Changamoto niliyo nayo kwenye biashara ya maparachichi ni hako kaneno "abee"
Kuna vijana wajuzi wa kuvunja mazizi ya watu humu ndaniSimuoni kwenye huu uzi
Kwahiyo ndio nishaibiwa hivyo[emoji15] au[emoji15] [emoji15]Kuna vijana wajuzi wa kuvunja mazizi ya watu humu ndani
Naona unataka kuvunja ndoa zetu*wasukuma wanakaa bafuni dakika30 dakika5 anaoga zilizobaki anasugua yebo*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]