Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pata dozi ya maneno matamu na kicheko kabla ya kulala. Kicheko hata kama ni kwa kujilazimisha kinafanya kazi sawa na kicheko cha kawaida. Kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo hili kwa muda mrefu, ni vizuri wakaonana na daktari kwa ajili ya ushauri, uchunguzi wa kina na matibabu sahihi. Inashauriwa kuepuka matumizi ya dawa za usingizi bila ushauri wa kitabibu, kwani tabia hii ingawa imezoeleka, inaweza kusababisha madhara zaidi ya kiafya.
 
watoto wengi husumbua sana kula kipindi fulani cha maisha yao, japokua wapo ambao sio wasumbufu kula. kuishiwa hamu ya kula kuna vyanzo vingi ambavyo mzazi anatakiwa avichunguze kwa mtoto wake badala ya kufoka au kumanza kumpa dawa mbalimbali. kutokula huku ni hatari kwa mtoto kwani huweza kua chanzo cha magonjwa nyemelezi kwa mtoto. zifuatazo ni sababu kumi kwanini mtoto anapoteza hamu ya kula.
 
ukuaji wa taratibu; mwaka wa mtoto hua anakua kwa kasi sana hivyo hamu yake ya kula hua nzuri kwasababu mwili unahitaji virutubishoi vingi kwa ajili ya ukuaji lakini akifika mwaka mmoja kwenda wa pili ukuaji unapungua kasi hivyo kula kidogo kipindi hiki ni hali ya kawaida kabisa.
 
ukuaji wa taratibu; mwaka wa mtoto hua anakua kwa kasi sana hivyo hamu yake ya kula hua nzuri kwasababu mwili unahitaji virutubishoi vingi kwa ajili ya ukuaji lakini akifika mwaka mmoja kwenda wa pili ukuaji unapungua kasi hivyo kula kidogo kipindi hiki ni hali ya kawaida kabisa.
 
msongo wa mawazo;kama walivyo watu wazima watoto pia hupata mawazo sana kama kuna changamoto zinawakabiri kwenye maisha yao na wakati mwingine mzazi ndio chanzo cha matatizo hayo mfano kutoa adhabu kali akifanya kosa, kumfokea na kumtukana mbele za watu, kumnyima haki zake za msingi kama hela ya kula shule na mguo za kuvaa au kifo cha mzazi au mlezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…