mwisho; katika harakati za wazazi kutaka watoto wale basi wamejikuta wakiharibu watoto kwa kuwafanya wawe wanenene sana, kuwapa vyakula ambavyo sio muhimu kwa mwili kama soda, biskuti,chocolate, chips na kadhalika na kusahau matunda na mboga za majani.