PatachangamkaKumepowa kweli
Mi kadi tu sijui sikukuu liniSikukuu jumatatu
Ni kweli amefika dahtupo tulikuwa tunampokea OKWIII uwanja wa ndege
Kumbe ulilalaNdio naamka wana likes
HahahahaMwez upi aliuona huu wa damu au
Anakoroma tu saiviKumekucha culture gal
Good morning mashoodjr"The magufulication of Africa". Good morning comrades
Mpka IDD inakwishwa 80k possibleKama kesho ni siku kuu safi!
HahahahaAnakoroma tu saivi
Kalala huyo kajifunika ngumi ya like
Safi sana Uzi huuHuu uzi naupenda maana ni stress free zone
Ndio uzuri wakeHauna mitusi
Hatuna mchezo mchezoNi like tu
Kila mtu ni sawaHauna dharau
Ya maweMvua
Ndio mkuuTukasali wapenzi.
Kula likes kwa kumshauriPm kwanza atakuelewa tu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Joseverest...Muda huu ndo mwafaka. Go for it [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unanicheka nimeingia choo cha walevi niniHahahaha