Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika nchi za Asia ikiwamo China na India, ufuta umekuwa ukitumika kama tiba ya watu wenye matatizo ya macho hasa ufuta wenye rangi nyeusi. Huu husaidia pia ini, hivyo upo uhusiano mkubwa kati ya ini na macho katika kutibiwa na ufuta, alisema Dk. Axe.
 
Tumetafiti na kufanya majaribio kwa watu kadhaa na kugundua kwamba hung’arisha ngozi na kuzuia athari zitokanazo na mionzi ya jua kupenya katika mwili kutokana na kiwango cha mafuta yake, kwamba hulinda ngozi ya mwili na kuepusha na saratani
 
NYWELE KUTOOTA NA KUNYONYOKA:

Dk. Nyampiga anaongeza kwa kusema kuwa ufuta ukitumiwa vizuri na kwa usahihi pia huimarisha nywele na afya ya kichwa, hivyo kuwafanya watu wenye matatizo ya kutoota nywele na nywele kunyonyoka kuondokana na madhila hayo.
 
NAMNA YA KUTUMIA KWA NIA YA TIBA, KINGA:

Kwa mtu mwenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea, wataalamu hao wanashauri mhusika kusaga ufuta kisha kijiko kimoja cha chai cha unga huo kuchanganya kwenye chai, uji au supu iliyomo kwenye kikombe au bakuli vya wastani.
 
Nimeshapata wa kufanya naye matusi,halafu sitafuti
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…