mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wapi myoyaKonge na Harufu jana hamkutokeza hapa mida ya wanga. Afadhali leo mmekuja wakuu. Safi sana !!!
Wapi myoyaKonge na Harufu jana hamkutokeza hapa mida ya wanga. Afadhali leo mmekuja wakuu. Safi sana !!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Rafiki zangu, habari za mida
Jamaa alikuwa baby faca kweliTONI na KENNETH EDMONDS (BABYFACE).
![]()
Nimerejea mkuuWapi myoya
HahahahahaKikwapa huwa hakina nidhamu hata kidogo.
![]()
Monica Arnold ana kibao kimoja matata sanaMONICA ARNOLD, TONI na JENNIFER HOOD.
![]()
Rip WhitneyBRANDY na WHITNEY wanakumbatiana.
CHILLI anamuona mwenzake BRANDY anamchelewesha.
CHILLI ana Shauku kubwa mno ya kumkumbatia WHITNEY.
![]()
Drugs sio kabisaWHITNEY na BOBBY.
BOBBY kampoteza njia WHITNEY.
Inasikitisha sana.
![]()
Mchana wa likesUsiku wa likes
Safi sanaLORETTA DEVINE, WHITNEY, ANGELA BASSETT na LELA ROCHON.
Waiting to Exhale.
Hii Filamu imetulia ni nzuri sana.
![]()
11:2603:28
Aretha Franklin mama anajua balaaaARETHA FRANKLIN na WHITNEY.
![]()
So sad hivi mtoto nini kilimuuaWHITNEY na BOBBI KRISTINA.
Mama na Mwana.
Wote Wawili hatuko nao tena.
![]()