Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HATUA ZA UKUAJI WA MTOTO

kila mtoto mwenye afya njema hufuata ukuaji maalumu ambao umefanyiwa utafiti kwamba unafuatwa na watoto wote kitaalamu kama developmental milestone, mtoto ambaye anayekua chini ya ukuuaji huu au zaidi sana ya ukuaji huu anaweza kua na tatizo hivyo anatakiwa achunguzwe haraka. magonjwa mbalimbali kama utapiamlo, upungufu wa homoni za ukuaji, kisukari, kifua kikuu, magonjwa ya moyo, kuharisha na kuugua mara kwa mara huweza kucheleaesha ukuaji wa mtoto kimwili na kiakili lakini pia uzalishwaji wa homoni nyingi kitaalamu kama growth homone huweza kumfanya mtoto kukua kuliko kawaida na hii mara nyingi husababishwa na uvimbe wa kansa kwenye ubongo, lakini hii ni mara chache saana..watoto wengi walioko tanzania na afrika kwa ujumla huchelewa kukua na hii huwafanya kuwa wafupi ukubwani na kua na uelewa mdogo darasani.zifuatazo ni hatu muhimu za ukuaji..
 
wakati wa kuzaliwa;
mtoto hupungua uzito kwa 5% mpaka 10% ndani ya siku saba mpaka kumi za kuzaliwa, baadae mtoto huongezeka kilo mbili kila mwaka mpaka atakapofikisha miaka mitano, mtoto huzaliwa na urefu wa sentimita 50, baada ya mwaka mmoja hufikisha sentimita 75 na na baada ya miaka minne hufikisha urefu wa sentimita 100.
mtoto huzaliwa na kichwa chenye mzunguko au diameter au mzunguko wa sentimita 35 na kuongezeka sentimita moja kila mwezi na baada ya miezi 12 kichwa hufikisha sentimita 46
 
[emoji256][emoji256]wiki ya sita; katika umri huu mtoto huanza kutabasamu bila kuongea chochote.

[emoji256]mwezi wa pili ; mtoto huanza kukunja na kunyoosha mikono huku akivuta nguo zake na za mtu anayembeba.

[emoji256][emoji256]mwezi wa nne ; kipindi hiki mtoto huanza kushika vitu na kuviweka mdomoni na kuanza kugeuka pale anaposikia sauti ya mtu inaita na kuweza kutumia shingo lake japokua wakati mwingine huweza kushika shingo akiwa na miezi mitatu tu.
 
KUTONGOZA AU KUPENDANA

watu wengi uchanganya kati ya kutongoza na kumpenda mtu binasfi mimi siamini katika kutongozana nachokijua nikuwa wawili wanapendana pasipo kuladhimishana (inforcement relationship)

Wengi wetu jamii za kiafrika huwa tunakawaida mwanaume ndio anafaa kumfata mwanamke na kumwambia kuwa anamuitaji na ifahamike kuwa wanawake nao kunawatu wanawapenda na wanatamani kuwafata na kuwambia kama anavyofanya mwanaume.

Hivyo kuleta mkanganyiko maana wao pia wanazo feelings za kumpenda mwanaume.kinacho wabana ni mila na desturi zetu(mazoea ya jamii za kiafrika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…