Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji256][emoji256]mwezi wa sita; kipindi hiki mtoto huota meno, huanza kutambaa, huanza kukaa mwenyewe na hupata wasiwasi akimuona mtu ambaye hamfahamu.

[emoji256]mwezi wa tisa; mtoto huanza kusimama, kuita majina kama dada, mama, kaka na kuanza kucheza michezo ya kitoto.

[emoji256][emoji256]mwezi wa 12 ; mtoto huanza kutembea kwa sapoti ya kushikwa au kutumia vifaa maalumu vya kusukuma, huanza kuongeza maneno zaidi ya kaka na dada na pia huweza kushika kikombe na kunywa mwenyewe.
 

Siku ipo inaendelea vyema...
Nipo kwenye restaurant ya Wachina inayo-specialize kwenye exotic foods.
Nataka kujikumbushia supu ya minyoo.
Nikuletee take out ama uje ujaribu?​
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] katibu mkuu wa Chawamita Nakupenda sana ila iyo supu kunywa mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji256][emoji256]mwezi wa 15; mtoto huanza kutembea mwenyewe, huweza kuchora mstari na kuonyesha kitu anachokihitaji kwa kidole.

[emoji256]mwezi wa 18 ; mtoto huweza kupanda ngazi, huongeza idadi ya maneno na hufuata akiagizwa kufanya au kutofanya kitu fulani, hapa huanza kutumia kijiko na kujishika sehemu za mwili wake
 
[emoji256]miaka miwili ; hapa mtoto huweza kukimbia na kupiga mpira, huweza kuvua nguo na kuanza kutamka maneno kama mimi, wewe yule na kadhalika.

[emoji256][emoji256]miaka mitatu ; hapa mtoto anazidi kua mkubwa na kuanza kusimama kwa mguu mmoja, kukimbia zaidi, kujua jinsia na umri wake, huweza kuvaa na kuvua nguo lakini hawezi kufunga vifungo, anaweza kuhesabu moja mpaka kumi kama akifundishwa, anaweza kuruka na kuchora duara
 
[emoji256][emoji256]miaka minne ; mtoto anaweza kusimulia kitu kilichomtokea, kutumia choo na kufunga vifungo, huweza kucheza michezo mingi zaidi, huweza kuruka kwa mguu moja bila kuanguka.

[emoji256]miaka mitano; mtoto anaweza kuzitambua rangi nne za msingi, anaweza kuendesha baiskeli, anaongea kama watu wengine bila kuchanganya wakati uliopo na ujao.
 
Back
Top Bottom