Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Myoyaa[emoji4]Mh! Haya..
Myoyaa[emoji4]Mh! Haya..
Ice Cream...Ice cream niletee ila supu ya konokono hapana.
Sitonuna Kipenzi changu wewe unatosha na hivi hali ya hewa inaruhusu[emoji39]
Yaaay!!! yani tupate twins mara mbili...Ni kweli...
Hata uwezekano wa kupata twins unaongezeka.
Nimekuona unavyoshabikia twins wanaowekwa na Beef Lasagna...
Najiandaa...kwa ajili yako !!!
[emoji113] [emoji113] [emoji113]ASW-SWAMADU: Aliyekamilika sifa za kila aina ya utukufu Wake, Mwenye kukusudiwa kwa haja zote.
Kama ni hivyo safi sana.Hahaa...Kikoromije nakinyaka vizuri tu! Na tena siyo cha kutongozea tu, mpaka cha kuombea ubunge aisee! [emoji23][emoji23]
Diet inavunjika muda wowote ishanichosha hata sili kwa raha...Ice Cream...
Si umesema umo kwenye diet ama?
Hali ya hewa Shawishi eeeh?. Sijui ile picha ya asubuhi iko wapi....
[emoji113] [emoji113] [emoji113]As-Salaam: Mwenye Amani, Mwenye kusalimika na kasoro zote.
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Muumin: Mwenye Kusadikisha Ahadi, Mwenye Kuaminisha, Mwenye kuweka amani na usalama.
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Muhaymin: Mwenye kudhibiti, kushuhudia, kuchunga na kuhifadhi, Mwenye kudabiri mambo.
Supu...[emoji58][emoji58]Myoyaa[emoji4]
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-‘Aziyz: Azizi, Mwenye Taadhima, Mwenye enzi, Mwenye nguvu, Asiyeshindika.
Wine na roses[emoji23][emoji23][emoji23]Hata na wewe unanikandia shemeji?
Semeni mnachotaka basi niwaletee....
Wooyooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ice cream niletee ila supu ya konokono hapana.
Sitonuna Kipenzi changu wewe unatosha na hivi hali ya hewa inaruhusu[emoji39]
Ya konokono[emoji20] [emoji52]Supu...[emoji58][emoji58]
Hilo kubwa zaidi. Maana hapa likes kwa Likes kama myoyambendi asemavyoSi hivyo tu, yampasa abaki hapa akigonga likes kwa post nyingine
Wooyooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli...
Hata uwezekano wa kupata twins unaongezeka.
Nimekuona unavyoshabikia twins wanaowekwa na Beef Lasagna...
Najiandaa...kwa ajili yako !!!