Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Dunda udundiwe
Ina chumvi?Ya konokono[emoji20] [emoji52]
Nimeipatia picha hapa doohh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ina chumvi?
Haya shemejiSiyo kweli shemeji.
Ni utani tu....
Niliwahi kunywa supu ya konokono/snails kwa kutojua...
Hivi hivi na akili zangu siwezi..
Msije mkaniogopa jamani.....
Hapana. Mimi siyo Linguist...Yaani wewe ni linguistics! Kuna Bwana mmoja alikuwa mtaalamu wa lugha UDSM kitambo sana! Baadae alikwenda Libya miaka hiyo kama mtaalamu wa kiswahili, nadhani alishawahi kwenda Japan kwa mambo hayo hayo, vipi unamfahamu?
Kuwa na will power mama...Diet inavunjika muda wowote ishanichosha hata sili kwa raha...
Sanaa kama sahv kiubaridiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mhh!Nimeipatia picha hapa doohh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuwa na will power mama...
Finish what you started...
Angalia tu hiyo diet isiguse msambw...ha ha haaa !!!