myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani moyoni..
Cha kushangaza ni kwamba sina kipaji cha kujifunza lugha. Huwa sipendi kabisa lugha zenye gender na inflections ambazo ziko complicated. Nimejaribu lugha nyingi lakini karibu zote zinaniwia ngumu naishia tu kujua salamu na mambo machache ya muhimu.
Lugha tunazichukulia poa lakini kujifunza lugha mpya ni mojawapo ya njia bora kabisa ya kuimarisha afya ya ubongo.
Sasa hapa nilipo nahangaika na Kihispania...
Nimejibu swali lako kama mwanasiasa ha ha haaaa !!!
Makinikia Umakinikiwe.....Dunda udundiwe
Kihispania eeehCha kushangaza ni kwamba sina kipaji cha kujifunza lugha. Huwa sipendi kabisa lugha zenye gender na inflections ambazo ziko complicated. Nimejaribu lugha nyingi lakini karibu zote zinaniwia ngumu naishia tu kujua salamu na mambo machache ya muhimu.
Lugha tunazichukulia poa lakini kujifunza lugha mpya ni mojawapo ya njia bora kabisa ya kuimarisha afya ya ubongo.
Sasa hapa nilipo nahangaika na Kihispania...
Nimejibu swali lako kama mwanasiasa ha ha haaaa !!!
Hajabambikiwa !!!
Mmh!haya bhana kama hakuna jibuHakuna jibu....
Nataka kwenda Tanga nikajaribu kujifunza lugha za huko shemeji....
Nina kamusi ya Kiingereza Kisambaa nadhani itanisaidia kidogo.
Lugha zingine nitaongezea baadaye.....
Nimeona hataki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]mjanja sana huyu jamaaaHahaa, you’re playing smart; don’t ya?
Cc @cabamazepine! [emoji23][emoji23]
Hutaki kupata kazi Langley, Virginia, VA
Nimeona hataki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]mjanja sana huyu jamaaa
Yes. Mitaa ya Texas, California, Florida, Arizona na New Mexico wamejazana waongeaji wa lugha hiyo. Ni lugha nyepesi kidogo ukiilinganisha na vigongo kama Kichina, Kihindi na Kiarabu !!!Kihispania eeeh
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Jabbaar: Jabari, Asiyeshindwa kufanya Atakalo.
Langley mpaka uwe Mmarekani. Na background check yake siyo ya kispoti spoti. Isitoshe kwa sasa wanaosakwa sana ni wazungumzaji wa Kiarabu (lahaja tofauti tofauti), Kiurdu, Kihindi, Kichina (Mandarin) pamoja na Kisomali.Nimeona hataki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]mjanja sana huyu jamaaa
Nimejibu kwa ufasaha kabisa...Ameruka kiunzi bhana! [emoji23][emoji23]
Akikua atafanana na baba akeHajabambikiwa !!!
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Mutakabbir: Mkubwa, Aliye na nguvu dhidi ya kila shari, uovu na dhulma.
Hata sasa anafanana na baba yake. Ndiyo maana nimesema jamaa hajabambikiwa kabisa. Maury hapo hahusiki kabisa !!!Akikua atafanana na baba ake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni kweli...
Hata uwezekano wa kupata twins unaongezeka.
Nimekuona unavyoshabikia twins wanaowekwa na Beef Lasagna...
Najiandaa...kwa ajili yako !!!