moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Khaaliq: Muumbaji.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Khaaliq: Muumbaji.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Khallaaq: Mwingi wa kuumba Atakavyo
jamii ndugu zangu mimi natafuta mdada wakukaa nae Stockholm awe mrembo anajielewa anione private
Kila la kheri shemeji naweza kuja jifunza kwako
Yes. Mitaa ya Texas, California, Florida, Arizona na New Mexico wamejazana waongeaji wa lugha hiyo. Ni lugha nyepesi kidogo ukiilinganisha na vigongo kama Kichina, Kihindi na Kiarabu !!!
Ndio faida ya Uzi huuHii picha nimeipenda itakuwa wallpeper kwenye simu yangu, shukrani mkuu.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Al-Baariu: Mwanzishi viumbe bila kasoro.
Mwanzishi viumbe bila kasoro.
Hahahahaha just breaking news lakini naifuatilia sanaKumbe huwa unaifuatilia pia [emoji2] [emoji2]
Jitahidi kupost sanaJaman humu ndani mwenye like ndogo kuliko wote ni mimi,ikibidi muwe mnalike mala mbili. [emoji20]
Weka post za kutosha tukupe likesJaman humu ndani mwenye like ndogo kuliko wote ni mimi,ikibidi muwe mnalike mala mbili. [emoji20]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio mambo ya wiki hii karibu na Nyama choma mbuziNikaribishe santa anna basi[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaJitahidi uwe una post mara mbili ya Ruta na mara tatu ya Numbisa
mpenzi tunaanza baadae tutangalia inavyokwendaMabinti, Sitokohomu hiyooo inaita changamkeni...ha ha haaaa!!!
Pengine fafanua kidogo mkuu.
Kukaa naye kama mke/mpenzi/mchumba au kama mfanyakazi wako?
HahahahahaMara[emoji818]
mala[emoji777]
Karibu mkuu
HahahahahaHaya mambo yanatokea kweli. Si ajabu hapo mama wa watu anaomba muujiza ITM iteme...
MaashallahMjuzi wa Ghaib na yalio dhahiri. Muumba wa vyote vilivyopo duniani na akhera na vilivyomo baina ya mbingu na ardhi. Mpole na msamehevu. Hakuna chochote chenye kumithiliana naye mbora wa kurehemu
Hahahahaha
Umejipa uFaiza Foxy?
Weka na kile kibwagizo maarufu basi.....
Siku yako imeishaje?
Langley mpaka uwe Mmarekani. Na background check yake siyo ya kispoti spoti. Isitoshe kwa sasa wanaosakwa sana ni wazungumzaji wa Kiarabu (lahaja tofauti tofauti), Kiurdu, Kihindi, Kichina (Mandarin) pamoja na Kisomali.
Hicho kifo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani acha kabisa,au hata valuu au grants[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]