Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sina hata miezi minne tangu nije huku mkuu (kwa episode hii). Isitoshe, sitakaa niukane uraia wa Tanzania hata iweje. Next month nageuza zangu Koromije nikaendelee na kilimo changu cha nyanya mkuu. We inaonekana ndo ishatoka hivyo. Maisha ni popote ali mradi tu uyafurahie. That's all that matters...

Mimi bado mbongo bhana, na wala haijatoka! Tangulia tu Koromije, nitakualika uje unitembelee Nansio kwenye shughuli zangu za uvuvi! Niko nyuma yako!
 
Back
Top Bottom