Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Men who kiss their wives in the morning are said to live five years longer than men who don't.
Lete mkuuSimulizi, Ndege wa ajabu
jamii ndugu zangu mimi natafuta mdada wakukaa nae Stockholm awe mrembo anajielewa anione private
HahahahahaKumradhi[emoji818]
Kumladhi mi siijui. Nakukaribisha tuu mkuu[emoji5]
[emoji3] [emoji3]Ruka urukwe
Aiseeeewakati wa kuzaliwa;
mtoto hupungua uzito kwa 5% mpaka 10% ndani ya siku saba mpaka kumi za kuzaliwa, baadae mtoto huongezeka kilo mbili kila mwaka mpaka atakapofikisha miaka mitano, mtoto huzaliwa na urefu wa sentimita 50, baada ya mwaka mmoja hufikisha sentimita 75 na na baada ya miaka minne hufikisha urefu wa sentimita 100.
mtoto huzaliwa na kichwa chenye mzunguko au diameter au mzunguko wa sentimita 35 na kuongezeka sentimita moja kila mwezi na baada ya miezi 12 kichwa hufikisha sentimita 46
Unapata grantsGrants nimeimiss ila nipo dayatini
Wacha weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio mambo ya wiki hii karibu na Nyama choma mbuzi
Hahahahaha"Gonga likes za kishindo ujipatie wife"
HahahahahaNo!
I don't agree
Hakuna kitu kama hicho[emoji23][emoji23][emoji23]Hicho kifo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
21:0919:54
Hahahahhahah[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kakitumbua" au "limtumbua" lako tamu sana
Tamu sanaLikes za usiku
Sina hata miezi minne tangu nije huku mkuu (kwa episode hii). Isitoshe, sitakaa niukane uraia wa Tanzania hata iweje. Next month nageuza zangu Koromije nikaendelee na kilimo changu cha nyanya mkuu. We inaonekana ndo ishatoka hivyo. Maisha ni popote ali mradi tu uyafurahie. That's all that matters...Hata Kiswahili mkuu. Ila kama unajua kukitafuna vizuri ki Mandarin ni bonge la advantage! Kwani bado hujachukua nondo ya Kimarekani? Au unaongelea ule wa kuzaliwa? Sasa hivi ni rahisi kulinganisha na miaka hiyo. Background kwa ajili ya security clearance siyo mbaya kivile, jitose mwanawane! [emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa jaribu utajuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anadai zina virutubisho adimu[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Hakuna kitu kama hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukifa tutasema kafa kishujaa