Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
6. Utajiri mkubwa wa Madini Ya Shaba Mapera yana madini ya shaba ( Trace element copper ) ambayo ni mazuri sana katika ku- maintain ufanyaji kazi wa tezi ziitwazo thyroid. Tezi za thyroid zisipo fanya kazi vizuri zinaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya kwa mwanadamu