Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ae544fed0e0839e2a3ba21343663be29.jpg
 
KOMAMANGA ni tunda lenye asili ya India na Persia, kwa jina la kisayansi linaitwa Punica Granatum. Lakini lililetwa Marekani na wawekezaji wa Kihispania na kwa sasa limejulikana dunia nzima. Komamanga si tunda tu, bali ni chakula chenye vitamini, madini pamoja na virutubisho vingine vingi vinavyoweza kufanya miili yetu kuwa na afya na nguvu tele.
 
Back
Top Bottom