Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

df3d796467b7cc66bff2305beed3d96e.jpg
 
Kama ni hivyo safi sana.
Nina kamusi ya Kikerewe-Kiingereza ngoja nitaitafuta nikiipata nitakutumia.
Imechapishwa Japan na imeandikwa na Mjapan...

Yaani wewe ni linguistics! Kuna Bwana mmoja alikuwa mtaalamu wa lugha UDSM kitambo sana! Baadae alikwenda Libya miaka hiyo kama mtaalamu wa kiswahili, nadhani alishawahi kwenda Japan kwa mambo hayo hayo, vipi unamfahamu?
 
Back
Top Bottom