Tupate ndoa angalau moja kutoka katika uzi huu. Mtualike tu kwenye harusi...Carba nita oa tu babe S na nilipo gundua yupo Tanga nilimtafuta. Na leo anaanza weekend kwangu
Umechoka na safari ya kutoka Tanga kwenda Upareni? Pumzika bageshi [emoji120][emoji120][emoji120]Naomba niingie humu kesho nimechoka leo.