17:0011:29
Kama kawaidaLikes ziendelee
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Huku kwema mpenzi. Weekend yako inakwendaje? Ninapokuona katika uzi wetu huu pendwa ukifurahi basi huwa nafarijika sana. Ukipoteaga hapa hata kaAndaeitini huwa kanasikitika pia. Unapendwa !!!
Mapenzi mubashara
Mapenzi mubashara
Hii week ni ya ovyo kabisa[emoji47][emoji47]Kwema mpendwa. Wikendi yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
17:0211:35
Kweli kabisaje wajua kwamba muda pekee wa mwanafunzi kumtuma mwalimu ni kipindi cha mtihani darasani pekee...????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee wapi hii