Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali kadhalika, malimao yana asid, ambayo ni chanzo kizuri cha vitamin C, ambayo ni nzuri kuzuia baridi na homa, lakini malimao pia husaidia kuzuia saratani ya damu.Hali kadhalika, malimao yana asid, ambayo ni chanzo kizuri cha vitamin C, ambayo ni nzuri kuzuia baridi na homa, lakini malimao pia husaidia kuzuia saratani ya damu.
 
Pia maji ya limao huweza kuondoka makovu na mikunjo kwenye ngozi na kupunguza makovu makubwa kama ukinyunyizia kila mara. Hali kadhalika kutokana na uwezo wake wa kusafisha damu, maji ya limao huacha ngozi ikiwa inang’aa na yenye afya.
 
zipo faida nyingi za kutumia limao, hasa wakati wa asubuhi wakati mwili umekaa bila kula usiku kucha, miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kuusaidia mwili katika suala la mmeng’enyo wa chakula na kulifanya ini liweze kufanya kazi vizuri.
 
Wagonga likes, wikendi inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shwaaarii, tuko poa tu. Tukiwa na msongo, tunaruka kidogo mpaka jukwaa husika. Tunamwaga povu weee, roho ikitulia unarudi kumwaga likes[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…