Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shwaaarii, tuko poa tu. Tukiwa na msongo, tunaruka kidogo mpaka jukwaa husika. Tunamwaga povu weee, roho ikitulia unarudi kumwaga likes[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha
 
Bamia ni mboga maarufu hapa Tanzania. Mbali na kuwa na ladha nzuri, lakini pia bamia ina faida mbalimbali za kiafya kwa mwili wa mwanadamu.
Zifuatazo ni faida ishirini ( 20 ) za kiafya za mboga mboga aina ya bamia.
 
746da296d57cb297399d7778e1fb28ee.jpg
 
Back
Top Bottom