myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa fursa
I found love in you [emoji260]
Mwambie kuwa suala siyo kurudisha mahari. Kuna mambo kibao ya kimila ambayo inabidi yatekelezwe na mengine yana madhara. Mtu baki tu kwenye ikwesheni kama hizi ni no no no...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa fursa
Nasisitiza tena shemeji: Usipuyange peke yako bila kupata ushauri wangu WA KINA kuhusu suala hili!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:Yegomasika ujumbe huoMwambie kuwa suala siyo kurudisha mahari. Kuna mambo kibao ya kimila ambayo inabidi yatekelezwe na mengine yana madhara. Mtu baki tu kwenye ikwesheni kama hizi ni no no no...
Naona nilifanya kosa kumpendekeza akulete Koromije...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]In me? Ooh well; never mind! [emoji23][emoji23]
Nitakuona shemeji kabla sijafanya maamuzi lazima nije kwa ushauriNasisitiza tena shemeji: Usipuyange peke yako bila kupata ushauri wangu WA KINA kuhusu suala hili!!!
Mkuu mie si DJ ila napenda muziki kupita maelezo.
Ndo maana unapendwa na ukoo mzima !!!Nitakuona shemeji kabla sijafanya maamuzi lazima nije kwa ushauri