Ni baba anamuoza bintiye au ni mwenyewe anaoa? Kama mwenyewe ndo muoaji basi shikamooo pesa !!!View attachment 613973 Kazi imeanza
Huu ukoo hata mimi naupenda[emoji4][emoji4]Ndo maana unapendwa na ukoo mzima !!!
...Weshafanya yaooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona manyoya....
Thank you Mr. DJ! Muziki nadhani unatuweka page moja, Ila kule mmh; mimi hapana kabisa! [emoji23][emoji1550]
Cc:Yegomasika ujumbe huo
Kule wapi Mkuu!? Kwa chekechea?