uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
HaaaaTupo wengi mqana nimenunua banda la kufuga njaa kesho.
HaaaaTupo wengi mqana nimenunua banda la kufuga njaa kesho.
KaribuMaaombi sijafunga kadi napokea vyema
Hahaa nawaza kale ka robo kilo kangu ka mchele na kale ka robo ka nyama [emoji15] [emoji15] dooh sijui nihame locationKesho mtu asijichanganye kunikaribisha maana nguvu zangu zote za kugonga likes zote nahamishia kwenye chakula
Mmelala!?Good morning tooo
LikesMmelala!?
Pokea like kwa kuandika mara ya 203 hili nenoUNIVERSE TAKE CONTROL
Mmelala kweli!?Good morning malkia wa nguvu
Yap kazi kaziHaaaa
Jela mkuu?! Aaah kuko noma kila kitu kwa foleni. Hata kujisaidia jela ni kwa foleni.
Nakupa like kwa kunielewaAnza kazi mama nakuelewa sana
Mzima weye!?Good morning babe s
AppreciatePokea like kwa kuandika mara ya 203 hili neno
Hafu naomba usinipime imani kabisa usije jutia maamuzi maana nyundo za like nahamishia menuKaribu