Kwanza ni wanawake ambao wako katika umri wa uzazi (kwa sababu hupoteza damu wakati wakiwa katika hedhi zao). Pili wanawake wajawazito (kwa kwa kuwa madini ya chuma waliyonayo hutumiwa na viumbe vilivyoko kwenye matumbo yao kabla ya kuzaliiwa), na tatu ni watoto wanaonyosha maziwa, ambao huanza kula mlo kamili. Katika kipindi hiki cha ukuaji wa mtoto, akiba ya madini ya chuma ya mtoto aliyoipata kutoka kwa mama, huanza kupungua, kwa hivyo maziwa anayonyonya huwenda yakawa hayana chuma ya kutosha.