Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima ni kwa wale wasioupa mgongo ukweli, hata pale mambo yanapoonekana kufunikwa na giza na kutokufurahisha
Ni vyema kuishi maisha na ujasiri katika lolote unachofanya hata kama hujui matokeo yake kwani imani yako kwa jambo flani ndio hufanya jambo hilo kutendeka.
 
Kwa sababu kuwa huru si tu kutupa minyororo, bali kuishi katika namna inayoheshimu na kukuza uhuru wa wengine.
Hakikisha kuwa maisha yako na mienend yako inaonyesha kuwa uhuru wako una faida duniani
 
Mtu haezi enda njia mbaya usipomwacha aeende pia haezi enda njia nzuri usipomwacha aende.
Wakati mwingine ni vyema kumwacha mwenzako afanye apendacho ili aweze kuelimika kwa makosa yake kwani ukimweleza kuna uwezekana hatakuamini
 
Back
Top Bottom