Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Familia muhimu ni kama viazi, mizizi inapatikana chini
Familia nyingi zinazoongoza hua na viongozi wema katika vizazi vilivyo pita. Kwa hivyo unaweza kutengeneza maisha ya vizazi vitakavyo kufuata wakati huu.
 
kasoro zako zisome kwa tabia ya mwenzako.

linalokukera wewe elewa kwamba linamkera na mwenzio,kupendwa na watu si jambo rahisi,jitolee muhanga kwa uvumilivu wa tabia mbaya za wenzio nao utawaona wanajitolea muhanga kukupenda na kuiga tabia zako.amini kwamba kuheshimiwa kunatokana na uvumilivu wako kwa wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…