Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
*Last week Arsenal and Chelsea fans were talking 2-1 another. This week Man U fans have no 1-2 talk to. And Liverpool fans will be quiet 4-1 week*
Ebitokeeee....
Kila jambo na wakati
Yea!Ebitokeeee....
Wacha tu no six packs at the gymPesaaaaa !!!
Me niko salama namshukuru Mungu[emoji120][emoji120][emoji120]Habari ya leo nzuri. Vipi wewe? Blue Monday inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
God no respecter of men, for it is written!
Mwanaume mashine my foot. Mwanaume helaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jitu lenye bahati linaimbiwa hivi kwa uhalisia kabisa halafu huko liliko wala halijali na si ajabu linachepuka (siyo bro Cole jamani). Shwaiiiiniii !!!
Nipo mkuu. Mhola gete. Usije tu ukaniambia kuwa unataka kuniintavyuu.Shimba ya buyenze Upo,mwadela ngosha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi ndio zangu nikiwa na mood za kuchokoza watu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hebu prove hako ka msemo kako[emoji23][emoji23][emoji23]Mismatch. A beautiful model married to an old dude! Well, she is married for the money! [emoji848]