myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muone,ujue rohombaya haijengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa... Nitahakikisha pesa yangu naitafuna yote ndio nazeeka! Nabakiza ya kununulia dagaa tu na dona kwa ajili ya mlo wangu wa kila siku, wakati nikisubiri kwenda kuanza maisha mengine baada ya haya niliyonayo kufikia ukingoni. [emoji23][emoji23]
Kwa hiyo walinzi ndiyo wanatibu watu ama? Love my Bongo jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:andjul kuna mtu anakuchokoza huku[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Subiri Andjul aje cha moto utakiona!!!
Huyu hata akifika miaka 70 usishangae akiendelea kutafuta vitoto vya shule ya msingi[emoji23]Unafikiri kazee kama haka katakuwa kanawapigia stori za aina gani wajukuu?
"Mi enzi zangu nilikuwa natafuna warembo wa kila aina msinione hivi...:
![]()
Mimi huyu nikubali kufanya intavyuu hapa? Ili iweje? Offline mwezi mzima? Aaaaaaaaarghhhhh !!!Usiniambie kama utakubali[emoji23][emoji23][emoji23]maana nitakuwa offline mwezi mzima,usiniulize kwanini
Ilikuwa poa nafikiri japo sikufuatilia neno kwa neno
Muone,ujue rohombaya haijengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutaki nije kula jasho lako la ujana?mbona hivyo lakini?
Yeah! Nshomile wana mamiguu siyo mchezo. Na ngozi yao ile nyeusi yenye mng'aro wa asili basi ni uzuri hasa wa Kiafrika...Huu mguu ni wa mla senene aisee! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]