Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa... Nitahakikisha pesa yangu naitafuna yote ndio nazeeka! Nabakiza ya kununulia dagaa tu na dona kwa ajili ya mlo wangu wa kila siku, wakati nikisubiri kwenda kuanza maisha mengine baada ya haya niliyonayo kufikia ukingoni. [emoji23][emoji23]
Muone,ujue rohombaya haijengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hutaki nije kula jasho lako la ujana?mbona hivyo lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…